Posts

Showing posts from June, 2022

JE NIFANYE NINI KAMA MAZIWA HAYATOKI

 KUTOTOKA KWA MAZIWA YA KUTOSHA KUNATOKANA NA FACTOR KUBWA ZIFUATAZO: 1. CHAKULA: Aina ya chakula unashauliwa mama anayenyonyesha kula vyakula anavovipenda wakati huohuo vyeny wingi wa protein. Zaidi sana unachojisikia kula we kula tu 2. STRESS: hii ni kikwazo kikubwa sana kwa mama anayenyonyesha stress hupunguza uzalishaji wa homoni ya prolactin ambayo husababisha kuzalisha maziwa kwa wingi na homoni ya Oxitocin hufanya kazi ya kuyaachia kutoka homoni hizi mbili hufanya maziwa kutoka kwa wingi. Unachotakiwa kufanya ni wakati wa kunyonyesha kama mume wako yuko karibu jaribu kumwambia akusugue mabegani taratibu hii itakusaidia kurilax Lakini kama hauna mume au hayupo wewe wakati wa kunyonyesha sikiliza mziki mzuri uupendao na uwe unakunywa kinywaji chochote ukipendacho (Ila isiwe bia au kilevi chochote hapana) 3. GENETIC: Hii ni kwa wachache sana endapo umetumia njia zote na hakuna mabadiliko basi ujue Ni genetic yaa Yaani kurithi muulize mama yako au mama mdogo au bibi je kuna yeyo...

DALILI ZA UCHUNGU

Image
https://youtu.be/ddJSr8zDEro Zifuatazo ni Dalili za Mwanzoni za Kujifungua au Dalili za Mwanzoni za Uchungu. 1. Maumivu ya Mgongo na Kiuno Wakati fulani. Wajawazito wengi hupata Maumivu haya kutokana na Ongezeko la Homoni ya Relaxin ambayo hulegeza Nyonga kwa ajili ya kuhakikisha kuwa Mtoto anaweza kupita kwenye Nyonga, wakati Mwingine hii Homoni huweza kuathiri Jointi na Ligamenti za Mwili mzima na Mjamzito hupata Maumivu Jointi nyingine za Mwili wake. 2. Mtoto Kushuka (Lightening). Kuanzia Wiki ya 32 Mara nyingi Mtoto hushuka kwenda kwenye Nyonga tayari kwa ajili ya Kuzaliwa na Kutoka Duniani. 3. Kukojoa Mara kwa Mara. Baada ya Mtoto Kushuka Mjamzito huanza kupata Dalili za Kukojoa Mara kwa Mara, Ni kwa sababu Kibofu Cha Mkojo hugandamizwa na sehemu ya Mtoto ambayo iko Chini kwenye Nyonga ya Mjamzito na kubanwa kwa Kibofu Kati ya sehemu hiyo ya Mtoto na Mfupa wa Kinena. 4. Kuchoka Mara kwa Mara na Kukosa Usingizi. Maumivu katika kipindi cha Mwishoni mwa Ujauzito na Kukojoa Mara kwa M...

DAWA YA DEGEDEGE KWA WATOTO WACHANGA

 TIBA KUPITIA MITISHAMBA NA MATUNDA.       DAWA YA UGONJWA WA DEGEDEGE. Degedege ni ugonjwa unaowakumba watoto  hasa walio chini ya miaka mitano,    Ugonjwa huu husababishwa na jini ambaye pindi anapokutana na mtoto katika hali isiyoyakawaida jini yule humvaa mtoto kisha,huanza kumsababishia matatizo kama,    Mtoto kuanguka chini,kupiga kelele,kutokwa na povu mdomoni kama la sabuni,kuweweseka usiku na kujitafunatafuna meno n.k      Nini chakufanya ili kutibu tatizo hilo? Tafuta majani ya mbaazi,vitunguu swaumu viwili na mafuta ya kitunguu swaumu.  Jinsi ya kutengeneza dawa ya degedege.     Menya vizuri vitunguu hivyo kuviondoa maganda yale ya juu kisha changanya katika yale majani ya mbaazi kisha twanga vyote pamoja,kisha baada ya kulainika vizuri tia maji kiasi kama cha lita moja kisha yachemshe katika moto kwa muda wa nusu saa kisha yaache yapoe,kisha yachuje upate maji yaliyosafi.    Matumizi; Tumia ...

HATUA ZA KINGA KWA MAMA MJAMZITO

 Mjamzito anatakiwa kupata Chanjo hii kama ifuatavyo: ~Chanjo ya Kwanza hufanyika kwa mara kwanza endapo Mjamzito anaenda kliniki akutanapo na mhudumu wa afya. ~Chanjo ya Pili hufanyika Mara baada ya mwezi Mmoja au wiki 4 baada ya kupata chanjo ya Kwanza. ~Chanjo ya Tatu hufanyika Mara baada ya Miezi 6 baada ya kupata chanjo ya Pili. ~Chanjo ya Nne hufanyika Mara baada ya Miezi 12 au mwaka mmoja baada ya kupata chanjo ya Tatu. ~Chanjo ya Tano hufanyika Mara baada ya Miezi 12 au mwaka mmoja baada ya kupata chanjo ya nne Ni vema kuweza kupata walau Chanjo tatu za mwanzo ambapo huweza kukusaidia kukulinda na Ugonjwa huu endapo umepata michubuko au vidonda baada ya kupata Ajari na huweza kukulinda kwa asilimia 80. Pia kuepuka athari za Ugonjwa hususani kwa Mtoto Mchanga katika kipindi ambacho Mjamzito anajifungua na kukata kitovu.