HATUA ZA KINGA KWA MAMA MJAMZITO

 Mjamzito anatakiwa kupata Chanjo hii kama ifuatavyo:


~Chanjo ya Kwanza hufanyika kwa mara kwanza endapo Mjamzito anaenda kliniki akutanapo na mhudumu wa afya.

~Chanjo ya Pili hufanyika Mara baada ya mwezi Mmoja au wiki 4 baada ya kupata chanjo ya Kwanza.

~Chanjo ya Tatu hufanyika Mara baada ya Miezi 6 baada ya kupata chanjo ya Pili.

~Chanjo ya Nne hufanyika Mara baada ya Miezi 12 au mwaka mmoja baada ya kupata chanjo ya Tatu.

~Chanjo ya Tano hufanyika Mara baada ya Miezi 12 au mwaka mmoja baada ya kupata chanjo ya nne


Ni vema kuweza kupata walau Chanjo tatu za mwanzo ambapo huweza kukusaidia kukulinda na Ugonjwa huu endapo umepata michubuko au vidonda baada ya kupata Ajari na huweza kukulinda kwa asilimia 80.


Pia kuepuka athari za Ugonjwa hususani kwa Mtoto Mchanga katika kipindi ambacho Mjamzito anajifungua na kukata kitovu.

Comments

Popular posts from this blog

DALILI ZA UCHUNGU

JE NIFANYE NINI KAMA MAZIWA HAYATOKI