DAWA YA DEGEDEGE KWA WATOTO WACHANGA
TIBA KUPITIA MITISHAMBA NA MATUNDA.
DAWA YA UGONJWA WA DEGEDEGE.
Degedege ni ugonjwa unaowakumba watoto hasa walio chini ya miaka mitano,
Ugonjwa huu husababishwa na jini ambaye pindi anapokutana na mtoto katika hali isiyoyakawaida jini yule humvaa mtoto kisha,huanza kumsababishia matatizo kama,
Mtoto kuanguka chini,kupiga kelele,kutokwa na povu mdomoni kama la sabuni,kuweweseka usiku na kujitafunatafuna meno n.k
Nini chakufanya ili kutibu tatizo hilo?
Tafuta majani ya mbaazi,vitunguu swaumu viwili na mafuta ya kitunguu swaumu.
Jinsi ya kutengeneza dawa ya degedege.
Menya vizuri vitunguu hivyo kuviondoa maganda yale ya juu kisha changanya katika yale majani ya mbaazi kisha twanga vyote pamoja,kisha baada ya kulainika vizuri tia maji kiasi kama cha lita moja kisha yachemshe katika moto kwa muda wa nusu saa kisha yaache yapoe,kisha yachuje upate maji yaliyosafi.
Matumizi;
Tumia maji hayo kumnywesha mtoto vijiko viwili asubuhi na jioni kwa muda wa siku tano mfululizo na mengine utachanganya katika maji ya kumuogeshea kidogo.
Pia baada ya kumuogesha mpakae yale mafuta ya kitunguu swaumu mwili mzima utafanya hivyo kwa muda wa siku tano mfululizo asubuhi na jioni inshaallah mtoto atakuwa safi kabisa kwa uwezo wa m/mungu.
Kwa maoni ushauri na mahitaji ya kujiunga katika group zangu zilizoko whatsApp kwa ajiri ya kujifunza Elimu
Ingia youtube ya Sabina Online subscribe bure kabisa.
Kama unaswali lolote tuandikie
ReplyDelete